August 17, 2019


TANGU mwaka 2001 ambapo mechi za Ngao ya jamii zilianza kuchezea hapa nchini tayari zimechezwa mechi 11.

Yanga inaoongoza Kwa kucheza mechi nyingi ambazo ni nane na kuikimbiza Azam FC ambayo imecheza jumla ya michezo tano.

Pia imetwaa mataji mengi ambayo ni matano, Simba imetwaa mara nne, Azam FC Mtibwa zimeshinda mojamoja.


Yanga ni wababe wa kutwa taji la ngao ya jamii kwa sasa rekodi ambayo inawapasua kichwa Simba kwa sasa wakihaha kuivunja leo.

3 COMMENTS:

  1. upuuzi!baada ya leo andika tena kama bado Yanga ni balaaa..Walishachukua mara tatu mfululizo?

    usifute tafadhali

    ReplyDelete
  2. tupelo matokeo ya Yanga vs AFC Leopards

    ReplyDelete
  3. Mbona haueleweki na poits zako? Shida unamaanisha kocha msaidizi au utendaji kwa maana ya viongozi na mfumo mzima wa kuiongoza club kwamaana uwekezaji/udhamin?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic