Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Mkuu wa Yanga, Luc Eymael amesema kuwa ametumia muda mchache kuwaunganisha wachezaji wake ia wataifuata Mbao kwa tahadhari.
"Tumetoka kumalizana na Alliance hvyo unaona wazi kwamba ratiba imebana lakini imani yetu ni kuona kwamba tunapaya matokeo," amesema.
Mwezi Februari ndani ya ligi Yanga ililazimisha sare nne mfululizo ambapo ilianza mbele ya Mbeya City kwa kufngana bao 1-1, Prisons bila kufungana, Tanzania Polisi na Coastal Union.
Kichwa cha Habari kimekosewa badala ya Azam ilipaswa kusomeka Yanga...
ReplyDeleteDuh, papara ya nn muandishi? Title ya habari muhimu kuendana na contents
ReplyDeleteNahisi jamaa huwa hasomi baada ya kumaliza kuandika
ReplyDelete