March 6, 2020


NYOTA wa timu ya Borussia Dortumund, Earling Haalad amesema kuwa hawezi kumsahau Kocha Mkuu wa Manchester United, Ole Gunnnar Solkkajer, kwa sapoti yake.

Wote wawili ni raia wa Norway ambapo walikutana kwenye timu ya Molde ya nchini kwao wakati huo yeye akiwa mchezaji na Solskajer kocha.

"Amekuwa akinipa sapoti wakati ule najifunza nilikuwa napenda kumuona namna akifanya kazi uwanjani kutengeneza na kumalizia jambo ambalo linanifanya nisimsahau kwa mchango wake,' amesema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic