April 6, 2020


MSHAMBULIAJI  wa Barcelona, Antonie Griezmann amesema anatamani kuvaa jezi namba saba ndani ya klabu hiyo.

 Griezmann amejiunga na Barca msimu huu kwa sasa anavaa jezi namba 17 na jezi namba saba awali ilikuwa inavaliwa na Philippe Coutinho.

“Natamani kuvaa jezi namba saba hapa Barcelona na kwa sasa nahisi kuikosa maana messsi hazichezwi, na  nimemisi soka,”alisema staa huyo.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic