April 13, 2020

SVEN Vandenbroeck, Ko
cha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa wa mezani.

Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Simba ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28.

Sven amesema:"Jambo la msingi ni kuona kwamba tunacheza mechi zetu zote 10 kuliko kufikiria kupewa ubingwa kabla ligi haijaisha lakini suala la ligi kurejea halipo mikononi mwetu zipo mamlaka husika zinasimamia,".

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic