December 1, 2013




Timu ya Coastal Union U 20 imkefanikiwa kutwaa ubingwa wa Kombe la Uhai kwa kuichapa Yanga kwa mabao 2-0.

Coastal Union ambayo iliingia fainali baada ya kuivua ubingwa Azam Fc ilionyesha soka safi na la kuvutia. Na Juma Mahadh na Ally Ufud wakafanya kweli kwa kufunga mabao hayo mawili.

Baada ya kupata bao la kwanza, Coastal ilizidi kuwa bora na kuipa Yanga wakati mgumu zaidi.

Bao la pili lilipatikana katika dakika ya 88 huku Yanga wakiamini walikuwa wanakaribia kusawazisha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic