MAFUNDI WAKIFANYA MATENGENEZO YA MWISHO KABLA YA BASI HILO HALIJAONDOKA KATIKA ENEO YA TUKIO. HAPA TAYARI LILIKUWA LIMEHASULIWA KUTOKA MTARONI. |
YANGA WALINUSURIKA NA AJALI LEO BAADA YA BASI LAO KUTUMBUKIA MTARONI KATIKA ENEO LA MIKESE MKOANI MOROGORO.
WALIKUWA NJIANI WAKITOKEA MOROGORO BAADA YA KUCHEZA MECHI YAO YA JANA DHIDI YA MTIBWA SUGAR ILIYOMALIZIKA KWA SARE YA BILA KUFUNGANA.
KWA MUJIBU WA MSEMAJI WA YANGA, TAYARI KIKOSI HICHO KIMETUA KAMBINI BAGAMOYO BAADA YA BASU HILO KUNASULIWA MTARONI NA KUFANYIWA MATEGENEZO MADOGO, HALAFU LIKAENDELEA NA SAFARI.
0 COMMENTS:
Post a Comment