January 22, 2015

  
Picha nyingine zinazoonyesha wachezaji wa Polisi Dodoma (mbili za juu) na Polisi Tabora (picha ya chini) wakimpiga mwamuzi.


Hii ilikuwa ni katika mechi mbili tofauti za Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Hii ni aibu kubwa kwa soka nchini na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linapaswa kuchukua hatua kali kwa wachezaji hao ili iwe mfano.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic