December 3, 2015


Jamie Vardy ndiye mbabe katika kasi ya upachikaji mabao katika Ligi Kuu England kwa sasa.


Pia avunja rekodi ya kufunga mabao katika mechi 11 mfululizo za ligi hiyo.

Pamoja na kuwa gumzo kiuchezaji, suala la mguu wake kuonekana uko fiti kweli, au msuli hasa ndiyo gumzo.


Mshambuliaji huyo wa kikosi cha Leicester inayofundishwa na Muitaliano, Claudio Ranieri kwa sasa kimekuwa gumzo kutokana na mwenendo wake katika Ligi Kuu England.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic