December 3, 2015


Kocha Meja Mstaafu, Abdul Mingange sasa ametangazwa rasmi kubwa bosi wa Mbeya City.


Mingange alikuwa akishikilia nafasi ya Juma Mwambusi ambaye aliamua kuondoka na kujiunga na Yanga akiwa katika nafasi ya kocha msaidizi.

Lakini leo Mbeya City imemtangaza Mingange kuwa kocha mkuu kamili ingawa haikuweka wazi mkataba huo ni wa muda gani.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic