KATIKA PICHA ANGALIA NAMNA YANGA ILIVYOPAMBANA NA KAGERA NA KUITULIZA KWA MABAO 3-1 Yanga imejiongezea pointi tatu leo baada ya kuitwanga Kagera Sugar kwa mabao 3-1. Ilikuwa ni mechi ngumu na ya kuvutia. Cheki pichaaaz mwenyewe.
0 COMMENTS:
Post a Comment