MWONEKANO WA JEZI ZA PRISONS BAADA YA KUKABIDHIWA NA VODACOM, LEO Vijana wakiwa wamevaa jezi mpya za Prisons katika msimu wa 2016-17. Hii ilikuwa katika hafla za makabidhiano ya jezi mpya za msimu ujao zilizofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom.
0 COMMENTS:
Post a Comment