Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga nao wamekabidhiwa jezi zao kwa ajili ya msimu ujao kama unavyoona vijana wakiwa wamezivaa, zitakuwa kwa ajili ya msimu wa 2016-17. Hii ilikuwa katika hafla za makabidhiano ya jezi mpya za msimu ujao zilizofanywa na wadhamini wa Ligi Kuu Bara, kampuni ya simu za mikononi ya Vodacom.
0 COMMENTS:
Post a Comment