April 1, 2017


Pierre-Emerick Aubameyang amefunga bao safi wakati timu wakati Borussia Dortmund ikitoka sare ya 1-1 dhidi ya Schalke 04 kwenye Bundesliga.

Aubameyang alishangilia kwa mbwembwe akivaa kinyago wakati akiongozana na Shinji Kagawa wakienda kushangilia.

Hata hivyo, Schalke walivunja furaha yake baada ya kusawazisha bao hilo.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV