April 2, 2017


Robert Lewandowski ni mtu hatari sana hasa anapokuwa mbele ya lango.

Ameingoza timu yake ya  Bayern Munich kuibuka na ushindi wa mabao 6-0 dhidi ya Augsburg 6-0 katika mechi ya Bundesliga.

Ushindi huo unaifanya Bayern Munich kujishindilia kileleni kwa tofauti ya point 13 dhidi RB Leipzig waliokuwa wakichuana kwa tofauti ya pointi moja tu.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV