July 7, 2017Kocha Arsene Wenger sasa anamtaka Riyad Mahrez na hatakii mchezo.

Shida kidogo tu, yeye anataka kulipa pauni milioni 35 hata sasa hivi ili Mualgeria huyo atue Emirates Stadium.

Shida kidogo tu ni uongozi wa Leicester City unaamini thamani ya Mwarabu huyo wa Algeria ni pauni milioni 50.


Hata hivyo, mazungumzo yanaendelea na wakati wowote usishangae kusikia Mahrez ni kifaa kipya cha Arsenal.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV