July 7, 2017


Kocha Arsene Wenger sasa anamtaka Riyad Mahrez na hatanii.
Tayari Arsenal imeweka mezani pauni milioni 35 imtwae Riyad Mahrez.
Leicester City wanataka pauni milioni 50. Na Kama watakubaliana. Kikosi cha Arsenal itakuwa si mchezo.

Maana mbele kama Mesut Ozil na Alexis Sanchez watabaki na Lacazette pale. Dah! Sijui utamueleza nini babu Arsene Wenger.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV