January 30, 2018



Manchester City imewashitua wadau wa soka baada ya kusema inataka kumsajili Riyad Mahrez kwa pauni milioni 50.

City imekuwa wazi baada ya kumkosa Alexis Sanchez, sasa inaona Mahrez raia wa Algeria ni chaguo lake.

Lakini uongozi wa Leicester umeshikilia uamuzi wake wa kutaka kubaki naye au kumuuza kwa dau kubwa zaidi.


Leicester imesema iko tayari kumuuza lakini bei ya mshambuliaji huyo ni pauni milioni 100 ambazo zinaonekana kuishutia Man City.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic