January 16, 2018

1 COMMENTS:

  1. TIMU NINAYOITAMANI ANGALAU HAINAMUENDELEZO::
    Hivi hatuna ushawishi kweli kupitia FIFA na CAF kuomba msaada wa kuwatawanya vijana wetu kwenye Academy mbalimbali Duniani???hili ni swali kila mara nashindwa kulipatia jibu. Naamini chini ya mwamvuli wa FIFA kuna program za kuendeleza mpira wa miguu. Ukiweza kuweka ushawishi wako kwa viongozi wa FIFA katika fikra za kimaendeleo sidhani kama watakataa. Naomba sana viongozi wa TFF chini ya Rais Karia watumie uwezo wao wa kusaidia vijana kwa kuwapeleka kwenye vituo vya mchezo wa mpira popote duniani ili wapate kile wanachohitaji

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic