January 10, 2018




Ofisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi (TPLB), Boniface Wambura akionyesha tuzo atakayokuwa akipewa mchezaji bora wa kila mwezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.

Awali mchezaji bora alikuwa anapata fedha peke yake kiasi cha shilingi milioni moja na kuanzia sasa mbali na pesa atakuwa pia akipata king'amuzi cha Azam Tv na tuzo iliyotambulishwa rasmi leo Jumatano Januari 10, 2018

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic