January 19, 2018


Theo Walcott amewaahidi Everton atafanya kila kinachowezekana kwa kuupima uwezo wake kwa mabao.

Walcott amejiunga na Everton kwa kitita cha pauni milioni 20 akitokea Arsenal ambako kocha wake, Arsene Wenger amesema alipenda abaki.


Mshambuliaji huyo amesema anataka kucheza zaidi na anajua kama atafunga mabao, itakuwa nafasi yake zaidi ya kucheza.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV