January 19, 2018


Mshambuliaji Alexis Sanchez anaweza akawa ndiyo amefanya mazoezi ya mwisho leo na kikosi cha Arsenal.

Taarifa zinaeleza Manchester United wanaweza kutangaza kesho kuhusiana na kumsajili kwa pauni milioni 35.

Sanchez raia wa Chile alionekana ni mwenye furaha kubwa mazoezini kama ni mtu aliyekuwa ana uhakika wa kubaki.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic