March 11, 2018


Kocha Msaidizi wa Azam FC, Idd Nassoro Cheche, ameeleza namna anavyoifahamu Mbao FC haswa pale inapokutana na timu kubwa.

Mbao FC imekuwa changamoto kwa timu kubwa pale inapokutana nazo, ambapo huonesha kiwango cha hali ya juu.

Kuelekea mechi ya leo, Cheche, amesema atatumia mfumo ambao unaweza ukawa dawa dhidi ya Mbao FC

“Mbao ni timu nzuri hasa ikicheza na timu kubwa wanakuwa wazuri na sisi tumejiandaa tumengalia mechi zao kuona jinsi gani wanavyocheza, tunawajua Mbao walivyo lakini tutangeneza mfumo ambao tunajua tunaweza kuwadhibiti kuhakikisha tunapata ushindi,” alisema Kocha Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic