March 11, 2018


Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara leo wanaweza wakaporomoka tena kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa ligi.

Yanga ipo nafasi ya tatu kwa tofauti ya alama 3 dhidi ya vinara Simba walio na alama 46.

Mpaka sasa Yanga ina ponti 43 ikitofautiana na Azam iliyo nafasi ya 3 kwa alama mbili.

Azam yenyewe ina ponti 41 hivyo endapo kama itashinda mchezo wa leo dhidi ya Mbao FC, itakuwa imefikisha alama 44, hivyo kuweka utofauti wa alama 1 juu.

Hata hivyo Azam watakuwa wametangulia mbele kwa michezo miwili, ambapo hadi sasa wako mbele kwa mechi moja.

Yanga wao kesho watakuwa wanacheza na Stand United Uwanja wa Taifa.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic