March 14, 2018


Kikosi cha Simba kinataraji kusafiri jioni ya leo kuelekea Misri, kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Masry SC katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Wafuatao ndiyo watakuwa kwenye msafara huo

1. Said Mohamed Nduda
2. Aishi Manula
3. Shomari Kapombe
4-Mohamed Hussein
5. Asante Kwasi
6. Juuko Murushid
7. Yussuf Mlipili
8. Erasto Nyoni
9. Paul Bukaba
10. Jonas Mkude
11. James Kotei
12. Said Ndemla
13. Muzamiru Yassin
14-Mwinyi Kazimoto
15. Shiza Kichuya
16. John Bocco
17. Emmanuel Okwi
18. Nicholaus Gyan
19. Laudit Mavugo
20. Juma Luizio
Kocha Mkuu - Pierre Lechantre
Kocha Msaidizi - Masoud Djuma
Kocha wa Viungo - Mohammed Aymen
kocha wa Makipa - Muharami Mohammed
Docta wa Timu - Yassin Gembe
Meneja wa Timu - Richard Robert
Mtunza Vifaa - Yassin Mtambo

2 COMMENTS:

  1. Mungu akubarikini na murejee nyuso zenu zikiwa juu kwa ushindi mnono

    ReplyDelete
  2. Ninachoamini mshikamano na maandalizi mazuri ndiyo yataivusha Simba kwenye mechi yao na Al Masry. Najua uwezo wanao, kwani wameonekana wanafungika kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic