Kikosi cha Yanga kimeondoka jana nchini kupitia Dubai kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Alger.
Akilimali ameeleza kuwa wachezaji waliobaki hawajabi hivihivi na badala yake ameelez kuwa wanaidai klabu ndiyo maana hawajajumuika na timu.
Mjumbe huyo amesema kamwe hawezi kuwa mnafiki na akieleza kuwa msema ukweli siku zote ni mpenzi wa Mungu.
Wachezaji baadhi waliosalia nchini wakati Yanga ikikwea pipa jana ukiachana na wale majeruhi ni Ibrahim Ajibu, Papy Kabamba Tshishimbi, Obrey Chirwa na Kelvin Yondani.
Mbali na kutoa sababu hiyo, Akilimali ameitakia kheri Yanga kuelekea mchezo huo wa kwanza katika hatua ya makundi utakaopigwa Mei 6 2018, Jumapili ya wiki hii.
Jee uongozi wa yanga utaendekea kumkanusha kwa aliyoyasema Mzee Akilimali na jambo ambalo linajulikana na wote na ndilo lolomfanya Lindomina pia kuondoka? Badala ya kuwalipa wachezaji haki zao leo tunawasikia viongozi wakirangaza usajili wa wakali wapya na wakiumiya wanatengwa na kuondoshwa
ReplyDeleteUongozi uliopo chini ya Mkwasa in wspiga dili.clubu huenda itawafia su kusambaratikia miklnoni wao.Huwezi kupeleka timu uarabuni na wachezaji kama waendso kucheza na Mwadui.Sababu alixosema Akilimali ndio ukweli mtupu.,ndiosababu wanacheza chini ya kiwango.uongozi ndio kokoro,wanaikomba club.tuwe makini.
ReplyDeleteEnter your comment...Kama Wanadai Akilimali lipa
ReplyDeleteNi mapato gani yanayoingia klabuni?...gate collection? Msiwaandame sana viongozi bali wanachama mlilea hili la kutegemea pesa toka kwa Tajir Manji na kusahau kuwa yeye ni binadamu na kama tulivyoshuhudia matatizo yaliyomkuta.
ReplyDeletemchawi mkubwa we mzee, maneno mengi na huna msaada kwa klab. ulimpinga manji na hela zake leo ndo unaijua shida klabuni. mpira ni pesa sio uchawi.....
ReplyDelete