November 3, 2018

5 COMMENTS:

  1. Mi sijaelewa logic hapo timu zingine zimeshacheza mpk michezo 13 lkn huku wengine wa michezo 9..imekaa je hii

    ReplyDelete
  2. Ok, hii ligi ya ajabu Sana, Kuna timu zinacheza nyumbani na ugenini na zingine zinacheza nyumbani tu hadi tunafika round ya 13. Shame on you Tff

    ReplyDelete
  3. Hii ligi ni dhaifu kuliko zote duniani, Kuna timu zinacheza ligi na zingine zinacheza Bonanza, zipo hapo happy kwenye kituo kimoja

    ReplyDelete
  4. Hivi nyie waandishi wa habari hamuoni Kama kuna timu zingine zinacheza Bonanza na zingine zinacheza ligi

    ReplyDelete
  5. Ovyo kabisa wanachojua ni kukusanya mapato na fine lakini kuiweka ligi ktk mfumo mzuri hawawezi...imagine yanga wanacheza taifa muda wite hadi mechi ya 10 bila kutoka hii ni kuiandalia timu nyingine ubingwa kwa sababu mwishoni mwa ligi yanga itakuwa mikoani na hiyo timu itakuwa taifa ikishinda tu...not fair ligi nyingine zinacheza kwa uwiano mzuri wa hme na away pia mzunguko upo sawa kwa wote no viporo kabisa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic