Malik maarufu kama Maky sech wa Tabata jijini Dar es Salaam, amekabidhiwa jezi yake, Kasema yeye ni shabiki wa Mnyama Simba.
Malik ni kati ya washindi walioshiriki shindano la Shinda Jezi Kutoka SportPesa.
Shabiki huyo ameshinda jezi kupitia upande wa Facebook na kukabidhiwa jezi hiyo leo.
Wengine walioshinda upande wa Instagram wanaendelea kusubiriwa ili kukabidhiwa jezi zao.








0 COMMENTS:
Post a Comment