HIVI HAKUNA SHERIA ZINAZOWASIMAMIA MAKOCHA KATIKA KAZI ZAO HAPA TANZANIA?. VYOMBO HUSIKA VINAMUANGALIA TU!!!! NINA IMANI KAMA TFF HAMTACHUKUA HATUA MAPEMA, HUYU JAMAA ATATUHARIBIA MPIRA WETU WA TANZANIA. MBONA WAKONGO WENZAKE TUNAISHI NAO HAPA TANZANIA BILA SHIDA NA WAPO MIAKA MINGI KULIKO YEYE AMBAYE HATA MWAKA HAJAMALIZA LAKINI ANAJIFANYA ANAJUA KILA KITU NA ANAONGELEA HATA YASIYOMUHUSU!
TFF MSIPOTOA TAMKO JUU YA HUYU JAMAA, ATATULETEA MACHAFUKO. AU TUNAMSIKIA SISI TU?!!
Huyu Chizi kila kitu anapayuka hivi anadhan hapa Congo apambane na timu yake bhana watu tumemchoka yaan Mange kimambi atusumbue na Zahera maza fanta
ReplyDeleteZAHERA HATARI SANA KILA KITU YEYE ANAJUA ANAINGILIA KILA JAMBO HAKUNA WA KUMSIHI ASHUGHULIKE NA YANAYOMUHUSU YANGA YA WENGINE AWAACHIE WENYEWE
DeleteHuyu sasa ni aibu..payuka hovyo!
ReplyDeleteYeye ni kocha wa yanga, lakini hivi sasa anataka makubwa na kutamka mengi na kuvamia kila kitu kinyume cha kile alichokijia
ReplyDeleteHuyu mropokaji anapewa publicity ns makanjanja uchwara.
ReplyDeleteKila jambo anaingilia.Ingefaa wamwekee gavana ya mdomo.
HIVI HAKUNA SHERIA ZINAZOWASIMAMIA MAKOCHA KATIKA KAZI ZAO HAPA TANZANIA?. VYOMBO HUSIKA VINAMUANGALIA TU!!!! NINA IMANI KAMA TFF HAMTACHUKUA HATUA MAPEMA, HUYU JAMAA ATATUHARIBIA MPIRA WETU WA TANZANIA. MBONA WAKONGO WENZAKE TUNAISHI NAO HAPA TANZANIA BILA SHIDA NA WAPO MIAKA MINGI KULIKO YEYE AMBAYE HATA MWAKA HAJAMALIZA LAKINI ANAJIFANYA ANAJUA KILA KITU NA ANAONGELEA HATA YASIYOMUHUSU!
ReplyDeleteTFF MSIPOTOA TAMKO JUU YA HUYU JAMAA, ATATULETEA MACHAFUKO. AU TUNAMSIKIA SISI TU?!!