March 8, 2019

6 COMMENTS:

  1. Huyu Chizi kila kitu anapayuka hivi anadhan hapa Congo apambane na timu yake bhana watu tumemchoka yaan Mange kimambi atusumbue na Zahera maza fanta

    ReplyDelete
    Replies
    1. ZAHERA HATARI SANA KILA KITU YEYE ANAJUA ANAINGILIA KILA JAMBO HAKUNA WA KUMSIHI ASHUGHULIKE NA YANAYOMUHUSU YANGA YA WENGINE AWAACHIE WENYEWE

      Delete
  2. Huyu sasa ni aibu..payuka hovyo!

    ReplyDelete
  3. Yeye ni kocha wa yanga, lakini hivi sasa anataka makubwa na kutamka mengi na kuvamia kila kitu kinyume cha kile alichokijia

    ReplyDelete
  4. Huyu mropokaji anapewa publicity ns makanjanja uchwara.
    Kila jambo anaingilia.Ingefaa wamwekee gavana ya mdomo.

    ReplyDelete
  5. HIVI HAKUNA SHERIA ZINAZOWASIMAMIA MAKOCHA KATIKA KAZI ZAO HAPA TANZANIA?. VYOMBO HUSIKA VINAMUANGALIA TU!!!! NINA IMANI KAMA TFF HAMTACHUKUA HATUA MAPEMA, HUYU JAMAA ATATUHARIBIA MPIRA WETU WA TANZANIA. MBONA WAKONGO WENZAKE TUNAISHI NAO HAPA TANZANIA BILA SHIDA NA WAPO MIAKA MINGI KULIKO YEYE AMBAYE HATA MWAKA HAJAMALIZA LAKINI ANAJIFANYA ANAJUA KILA KITU NA ANAONGELEA HATA YASIYOMUHUSU!

    TFF MSIPOTOA TAMKO JUU YA HUYU JAMAA, ATATULETEA MACHAFUKO. AU TUNAMSIKIA SISI TU?!!

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic