January 9, 2020

5 COMMENTS:

  1. Wewe ulie tu na bado Zanzibar mpaka mtafukuza watu

    ReplyDelete
  2. Ni ukweli usiopingika mkwasa hakustahili kua kocha bora kwasababu aina ya ushindi aliopata haufikii hata kwa coastal union,na inajulikana wazi hakuna kigezo cha mechi za ugenini kwenye taratibu zakumpata kocha bora,isipokua watu wakishaamua kumpa mtu cheo huwezi fanya lolote,coastal union kacheza game nne na ameshinda taru suluhu moja kwanini asipewe mgunda apewe mkwasa aliepata sare mbili na akashinda mbili,hapa mmekosea.

    ReplyDelete
  3. ujanja ujanja kudhulumu madeni ya wachezaji, uongo wa wazi wazi...mambo ya kiibilisi tu..hamna maadili hata kidogo pale

    ReplyDelete
  4. Zungumzieni "Hirizi na penati ya Kagere" ndio standard yenu, mambo ya kocha bora waachie wenyewe! Mtaumia sana! Naona Manara anarithi waziwazi mikoba ya Zahera ya kupayukapayuka

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona uzungumzii Ajib alivyopiga mpira nnje wakati mpira ndo ulikuwa unaanza na ajakabwa namtu yoyote washenzi wakubwa tabia zenu za kuamini ushirikina zilizokithiri mnataka kuipaka matope Simba si tulishatoka uko si kwenda kuweka Kambi morogoro hizo ni tabia zenu nyinyi we una uhakika gani kama hiyo hirizi ilikuwa ni ya Kagere Hirizi imeokotwa kwenye boksi lenu la kumi na nane wachawi wakubwa nyie

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic