Kwani swala la rushes linaruhusiwa kwenye mpira? Mbona limefumbiwa macho.Na kama halikuwa la kweli kwa nn albino fc hawakupeleka barua ya malalamiko uko Tff?
Suala la kabwili alikuwa anafanya utani tu kuwa alitaka kuhongwa na viongizi wa simba kama alivyofanya bosi wake mwakalibela kwa chama.Ila kwa kabwili busara imetumika kulinda future yake kwani bado ni kinda mno isipokuwa chini ya viongozi wa hovyo aina ya mwakalibela kwenye mpira yanga itaendelea kuteseka.
kweli we shoga kama una uwezo wa kuzalisha uwezi kuwadharau Albino kwa kuwa hujui Mungu atakupa mtoto wa aina gani nishapata majibu utakuwa M - choko -zi, alafu kuhusu kabwili akiambiwa alete ushahidi wa hivyo vitu anao Simba wanamsaidia aendelee kucheza mpira nyie kabwili kabwili kweli mashoga
Halitegemei dirisha. Ni marufuku kuongea nä mchezaji mwenye mkataba wakati wote. Sio wakati wa usajili tu.Kumshawishi mchezaji mwenye mkataba unaozidi miezi 6 ni kinyume cha kanuni.
Angekuwa hana kosa asingekimbilia kuomba radhi.Dawa ni kupeleka FIFA malalamiko ili hatua zichukuliwe.Walifanya kwa Hassan Kessy wakapigwa faini milioni 50.Sasa wameanza upuuzi tena.
Tujatibuni kujikita kwenye hoja, je Kunaudhahidi wowote wa maongezi Kati ya Chama na Viongozi wa Yanga? Kama Hakuna utasemaje waliongea hata FIFA watahitaji ushahidi sio suala la kukimbilia Fifa tu. Inabidi wajipange na ushahidi. Wasitafute kuziba habari ya 20B kwa issue ya chama
Kama hakuzungumza kwa nini aombe radhi? Hapa wana Yanga kuwa makini na viongozi ambao wanaweza kuleta hasara kwa timu endapo italipishwa faini, kwa kitu ambacho siyo sahihi. Kama ushahidi hakuna kwa nini kiongozi huyo aombe radhi?
Waliokuwa wanashabikia suala hili wajiandae kutoa usaidizi, au ataachiwa GSM pekee?
ReplyDeleteYaan hao Tff watapata makosa mengi Sana ya haji.Hawezi kuvumilia bila kuitaja yanga
ReplyDeleteKuitaja Yanga sio kosa lakini kujaribu kuzungumza na mchezaji mwenye mkataba mrefu zaidi ya miezi 6 ni kosa.
ReplyDeleteNi upuuzi tu,na kwasababu ni tff yenu najua tutapa shida kweli. Mbona kabwili na issue ist mlipotezea.
ReplyDeleteKwani kanuni zinasemaje? Tusichanganye suala la Kabwili hapa tunazungumzia Chama na Yanga.
ReplyDeleteEbu muulize Chama kama alishawahi kuongea na Mwakalebela ili uzi wa mkundu usikuume!
DeleteHapa kanuni au issue ya usajili imevunjwa au haijavunjwa? Suala la Kabwili linatokea wapi?
ReplyDeleteHatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani tuwe waelewa ishu ya kabwili na ishu ya chama ni vitu viwili tofaut
ReplyDeleteKwani swala la rushes linaruhusiwa kwenye mpira? Mbona limefumbiwa macho.Na kama halikuwa la kweli kwa nn albino fc hawakupeleka barua ya malalamiko uko Tff?
ReplyDeleteSuala la kabwili alikuwa anafanya utani tu kuwa alitaka kuhongwa na viongizi wa simba kama alivyofanya bosi wake mwakalibela kwa chama.Ila kwa kabwili busara imetumika kulinda future yake kwani bado ni kinda mno isipokuwa chini ya viongozi wa hovyo aina ya mwakalibela kwenye mpira yanga itaendelea kuteseka.
ReplyDeletekweli we shoga kama una uwezo wa kuzalisha uwezi kuwadharau Albino kwa kuwa hujui Mungu atakupa mtoto wa aina gani nishapata majibu utakuwa M - choko -zi, alafu kuhusu kabwili akiambiwa alete ushahidi wa hivyo vitu anao Simba wanamsaidia aendelee kucheza mpira nyie kabwili kabwili kweli mashoga
ReplyDeleteHapo ataulizwa Chama kama alishawahi kuongea na Mwakalenela,otherwise ni ushuuzi tuu
ReplyDeleteHahaha kumbi kinawauma wakubwa kwani dirisha la usajili limeishafunguliwa kosa la mwakalebela ni lipi hasa
ReplyDeleteHalitegemei dirisha. Ni marufuku kuongea nä mchezaji mwenye mkataba wakati wote. Sio wakati wa usajili tu.Kumshawishi mchezaji mwenye mkataba unaozidi miezi 6 ni kinyume cha kanuni.
ReplyDeleteAngekuwa hana kosa asingekimbilia kuomba radhi.Dawa ni kupeleka FIFA malalamiko ili hatua zichukuliwe.Walifanya kwa Hassan Kessy wakapigwa faini milioni 50.Sasa wameanza upuuzi tena.
ReplyDeleteTujatibuni kujikita kwenye hoja, je Kunaudhahidi wowote wa maongezi Kati ya Chama na Viongozi wa Yanga? Kama Hakuna utasemaje waliongea hata FIFA watahitaji ushahidi sio suala la kukimbilia Fifa tu.
ReplyDeleteInabidi wajipange na ushahidi.
Wasitafute kuziba habari ya 20B kwa issue ya chama
Kama hakuzungumza kwa nini aombe radhi? Hapa wana Yanga kuwa makini na viongozi ambao wanaweza kuleta hasara kwa timu endapo italipishwa faini, kwa kitu ambacho siyo sahihi. Kama ushahidi hakuna kwa nini kiongozi huyo aombe radhi?
ReplyDelete