April 15, 2020

17 COMMENTS:

  1. Waliokuwa wanashabikia suala hili wajiandae kutoa usaidizi, au ataachiwa GSM pekee?

    ReplyDelete
  2. Yaan hao Tff watapata makosa mengi Sana ya haji.Hawezi kuvumilia bila kuitaja yanga

    ReplyDelete
  3. Kuitaja Yanga sio kosa lakini kujaribu kuzungumza na mchezaji mwenye mkataba mrefu zaidi ya miezi 6 ni kosa.

    ReplyDelete
  4. Ni upuuzi tu,na kwasababu ni tff yenu najua tutapa shida kweli. Mbona kabwili na issue ist mlipotezea.

    ReplyDelete
  5. Kwani kanuni zinasemaje? Tusichanganye suala la Kabwili hapa tunazungumzia Chama na Yanga.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ebu muulize Chama kama alishawahi kuongea na Mwakalebela ili uzi wa mkundu usikuume!

      Delete
  6. Hapa kanuni au issue ya usajili imevunjwa au haijavunjwa? Suala la Kabwili linatokea wapi?

    ReplyDelete
  7. Hatariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jamani tuwe waelewa ishu ya kabwili na ishu ya chama ni vitu viwili tofaut

    ReplyDelete
  8. Kwani swala la rushes linaruhusiwa kwenye mpira? Mbona limefumbiwa macho.Na kama halikuwa la kweli kwa nn albino fc hawakupeleka barua ya malalamiko uko Tff?

    ReplyDelete
  9. Suala la kabwili alikuwa anafanya utani tu kuwa alitaka kuhongwa na viongizi wa simba kama alivyofanya bosi wake mwakalibela kwa chama.Ila kwa kabwili busara imetumika kulinda future yake kwani bado ni kinda mno isipokuwa chini ya viongozi wa hovyo aina ya mwakalibela kwenye mpira yanga itaendelea kuteseka.

    ReplyDelete
  10. kweli we shoga kama una uwezo wa kuzalisha uwezi kuwadharau Albino kwa kuwa hujui Mungu atakupa mtoto wa aina gani nishapata majibu utakuwa M - choko -zi, alafu kuhusu kabwili akiambiwa alete ushahidi wa hivyo vitu anao Simba wanamsaidia aendelee kucheza mpira nyie kabwili kabwili kweli mashoga

    ReplyDelete
  11. Hapo ataulizwa Chama kama alishawahi kuongea na Mwakalenela,otherwise ni ushuuzi tuu

    ReplyDelete
  12. Hahaha kumbi kinawauma wakubwa kwani dirisha la usajili limeishafunguliwa kosa la mwakalebela ni lipi hasa

    ReplyDelete
  13. Halitegemei dirisha. Ni marufuku kuongea nä mchezaji mwenye mkataba wakati wote. Sio wakati wa usajili tu.Kumshawishi mchezaji mwenye mkataba unaozidi miezi 6 ni kinyume cha kanuni.

    ReplyDelete
  14. Angekuwa hana kosa asingekimbilia kuomba radhi.Dawa ni kupeleka FIFA malalamiko ili hatua zichukuliwe.Walifanya kwa Hassan Kessy wakapigwa faini milioni 50.Sasa wameanza upuuzi tena.

    ReplyDelete
  15. Tujatibuni kujikita kwenye hoja, je Kunaudhahidi wowote wa maongezi Kati ya Chama na Viongozi wa Yanga? Kama Hakuna utasemaje waliongea hata FIFA watahitaji ushahidi sio suala la kukimbilia Fifa tu.
    Inabidi wajipange na ushahidi.
    Wasitafute kuziba habari ya 20B kwa issue ya chama

    ReplyDelete
  16. Kama hakuzungumza kwa nini aombe radhi? Hapa wana Yanga kuwa makini na viongozi ambao wanaweza kuleta hasara kwa timu endapo italipishwa faini, kwa kitu ambacho siyo sahihi. Kama ushahidi hakuna kwa nini kiongozi huyo aombe radhi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic