December 18, 2020

 


MAKOCHA sita wameishia njiani ndani ya Ligi Kuu Bara mpaka sasa kutokana na sababu mbalimbali kwa msimu wa 2020/21.


Hawa hapa kazi yao haikufika mwisho namna hii:-

Zlatko Krmpotic wa Yanga alifutwa Oktoba 3 kwa sasa nafasi yake ipo chini ya Kocha Mkuu, Cedric Kaze.


Maka Mwalwisi alifutwa kazi ndani ya Ihefu, Oktoba 6 nafasi yake ipo mikononi mwa Zuber Katwila.


Zuberi Katwila alibwaga manyanga ndani ya Mtibwa Sugar, Oktoba 18.


Amri Said alifutwa kazi ndani ya Mbeya City Oktoba 21.


Hitimana Thiery wa Namungo alifutwa kazi Novemba 21, nafasi yake ipo mikononi mwa Hemed Morroco.


Arstica Cioaba wa Azam FC alifutwa kazi Novemba 26 nafasi yake ipo mikononi mwa George Lwandamina.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic