December 18, 2020

 


LEO Desemba 18 ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara pointi tatu zitasakwa kwa timu hizi hapa:- 

Mwadui FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 10 v Polisi Tanzania,iliyo nafasi ya 6 na pointi 21, Uwanja wa Mwadui Complex. 

Biashara United iliyo nafasi ya 8 na pointi 20 v Mbeya City, ipo nafasi ya 16 na pointi 12 Uwanja wa Karume.

Azam FC iliyo nafasi ya tatu na pointi 28 v Ruvu Shooting, iliyo nafasi ya 4 na pointi 24 Uwanja wa Azam Complex. 

Kagera Sugar iliyo nafasi ya 11 na pointi 18 v Coastal Union, iliyo nafasi ya 18 Uwanja wa Kaitaba.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic