VIDEO: SIMBA ULAYA AWACHANA WAZEE WA YANGA, AFUNGUKIA ISHU YA JONAS MKUDE SIMBA Ulaya, shabiki wa Simba amewachana wazee wa Yanga pia amefungukia ishu ya kiungo Jonas Mkude ambaye amesimamishwa kwa muda usiojulikana na Kamati ya Nidhamu kutokana na makosa ya nidhamu.
0 COMMENTS:
Post a Comment