SENZO Mbata, Mshauri wa Klabu ya Yanga kuelekea katika mabadiliko amesema kuwa ushindi ambao waliupata mbele ya Ruvu Shooting wanaufurahia ila tabia ya Metacha Mnata haijawafurahisha. Jana Juni 17 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Ruvu Shooting 2-3 Yanga, Mnata alionekana akinyanyua dole kwa mashabiki jambo ambalo limewafanya viongozi wa Yanga kumsimamisha kwa muda usiojulikana
Mnata nae sio kipa nzuri kivile, jana alipwaya sana. Siwa ajitafakari kama huyo ndio kipa wake Na.1
ReplyDeleteMsihofu, Jeremiah Kisubi anatua jangwani
ReplyDeleteMimi siku nyingi nilisema Mnata ni mwepesi. Na kama isingekuwa Mkwasa jana sisi tungerudi na vilio nyumbani
ReplyDeleten kama choo tu mnata, kla mtu anamtumia
ReplyDeleteMtoa rushwa au mla rushwa huwa abadiliki mikia hayo ya Mkwasa kuwa YANGA mmeua Timu nyingi, Angalia Mbeya City,Mmepeleka Kijuso kaimaliza kabisa ,AZAM yenyewe mikia,KMC mpaka mbeba jezi kulekule,huyo Kocha wa Kagera Baraza Ni paka kabisa Angalia mechi Ya Bukoba na ya Dar line up alivyozuga na zaidi Refa Mwandembwa.
ReplyDeleteHapo hatuna taja Namungo, Coastal,na zaidi Ihefu naGwambina
ReplyDelete