July 4, 2021


TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali ya michuano ya Copa America 2021 baada ya kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Ecoador. 

Walikuwa ni Rodrigo De Paul dk 40, Laulataro Martinez dk 84 na Lionel Messi dk 90+3 ambao walitupia mabao hayo ya ushindi kwa Argentina.

Pia wapinzani wao walishuhudia wakikamilisha dk 90 nyota wao mmoja akionyeshwa kadi nyekundu katika dakika za jioni.

Alikuwa ni Piero Hincaple dk 90+2, Uwanja wa Olimpico Pedro Ludovico alionyeshwa kadi hiyo.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic