October 1, 2014


Francesco Totti amekuwa mchezaji mkongwe zaidi kufunga bao kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Totti amefunga bao hilo wakati AS Roma ikitoka sare ya bao 1-1 na Man City katika mechi ya Ligi ya Mabingwa jana.
WACHEZAJI WAKONGWE SITA KUFUNGA MABAO LIGI YA MABINGWA ULAYA:
1. Francesco Totti, MIAKA 38 NA SIKU 3 (Manchester City v Roma, Sep 30 2014) 
2. Ryan Giggs, MIAKA 37 NA SIKU 289
  (Benfica v Manchester United, Sep 14 2011)
3. Filippo Inzaghi, MIAKA 37 NA SIKU 86         (AC Milan v Real Madrid, Nov 3 2010)
4. Javier Zanetti, MIAKA 37 NA SIKU 71       (Inter Milan v Tottenham, October 20 2010) 
5. Laurent Blanc, MIAKA 36 NA SIKU 338 (Boavista v Manchester United, Oct 20 2010)
6. Paolo Maldini, MIAKA 36  NA SIKU 333

      (AC Milan v Liverpool, May 25 2005)  

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic