Baada ya mapumziko wiki mbili, wikiendi hii tunarejea viwanjani katika muendelezo wa Ligi mbalimbali barani ulaya. Ligue 1, EPL na Serie A kukupatia mamilioni ya pesa. Dau lako liweke hivi wikiendi hii;
PSG kuchuana na Angers katika muendelezo wa Ligue 1 kule Ufaransa. Katika michezo 10 iliyopita, Angers hawajawahi kuwafunga PSG. Msimu huu, mpaka sasa, PSG anaongoza msimamo wa ligi akiwa na pointi 24 huku Angers akishika nafasi ya 4 kwa pointi 16 baada ya michezo 9. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.32 kwa PSG.
Kwenye EPL jumamosi hii, Leicester City watawaalika Manchester United pale King Power Stadium. Timu zote mbili zinaingia mchezoni zikiwa na majeruhi kwenye safu zao za ulinzi. Msimu uliopita, United alishinda mchezo 1 kati ya mitatu waliyocheza dhidi ya The Foxes. Msimu huu itakuaje? Weka dau lako kwa United akiwa na Odds ya 2.20 ndani ya Meridianbet.
Kivumbi cha soka la Ulaya kitatimka pale Allianz Stadium! Ni Juventus vs AS Roma, hapa Maximilliano Allegri, kule Jose Mourinho. Timu hizi zinatofauti ya pointi 4 kati yao na huu ni mchezo unaoweza kuongeza wigo wa pointi. Meridianbet tumekuweka Odds ya 1.95 kwa Juventus.
Emirate Stadium kuwashuhudia nguli wawili wakioza timu zao ndani ya dakika 90. Patrick Viera akiwa na Crystal Palace, Mikel Arteta akiwa na Arsenal. Vita ya beki vs kiungo. Wachezaji hawa waliwahi kuitumikia Arsenal kwa vipindi tofauti na wote waliwahi kuwa manahodha wa kikosi hicho chini ya Arsene Wenger. Jumatatu hii, ni vita ya marafiki wawili wakiwa na timu mbili kinzani. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.70 kwa Arsenal.
Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote!
0 COMMENTS:
Post a Comment