October 30, 2014


 Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar ameonyesha namna wa vijana wa Kibrazili wanavyowajali wapenzi baada ya kutuma ndege ya kukodi imsafirishe mrembo kutoka Serbia hadi Barcelona.

Neymar raia wa Brazil ametuma ndege ya kukodi ambayo imembeba mpenzi wake Soraja Vucelic, taarifa zimeelezwa na gazeti la udaku la Serbia la Kurir.

Imeelezwa, wawili hao walikutana kipindi cha majira ya joto katika eneo la Ibiza wakati Neymar aliyekuwa amjeruhi akipumzika.
Baada ya hapo, wawili hao walikubaliana kukutana Oktoba na makubaliano ni Neymar kutuma usafiri.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic