November 23, 2014


Mazoezi anayofanya kiungo Andrey Coutinho akiwa kwao Brazil unaweza kusema ni kufuru.



Coutinho amekuwa akijifua mwenyewe akisimamiwa na kocha maalum kwa ajili ya mazoezi.

Kiungo huyo aliyeonekana hana nguvu katika mechi za Ligi Kuu Bara, ameonyesha anataka kurekebisha hilo.

Coutinho amekuwa akifanya mazoezi hayo chini ya mwalimu ambayo yanaonyesha kulenga kumuongezea nguvu na kasi.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic