January 30, 2015

Picha ya mshambuliaji wa AFC Wimbledon, Adebayo Akinfenwa amepiga picha akiwa na kifaru cha kijeshi na kuzua gumzo kubwa.


Mshambuliaji huyo anajulikana kutokana na umbo kubwa amekuwa gumzo na anaitwa kwa jina la Beast.

Wengi wamekuwa wakihoji alifikaje jeshini hadi kupiga picha na kifaru hicho cha kivita lakini mwenye ameonekana kutojali maswali hayo na kukaa kimya.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic