October 10, 2015

Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema atakaa nje ya uwanja kwa siku 21.


Kwa mujibu wa Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF), Benzema atakaa nje kwa wiki tatu baada ya kuumia nyama za paja katika mechi ya kirafiki dhidi ya Armenia ambayo Ufaransa ilishinda mabao 4-0.


Kutokana na kuumia huko, Benzema ameondolewa katika kikosi cha Ufaransa kitakachoivaa Denmark, kesho.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic