Yanga wameondoka kwenda Uturuki tayari kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Mo Bejaia ya Algeria.
Yanga wataweka kambi katika mji wa kitalii wa Antalya nchini Uturuki kabla ya kuondoka kwenda Algeria kuwavaa Mo Bejaia.
Kikosi kimeondoka leo saa tisa alfajiri kwenda Uturuki kuanza maandalizi.
0 COMMENTS:
Post a Comment