April 23, 2017




Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Msemaji wa Simba, Haji Manara.


Pamoja na kufungiwa mwaka mmoja, Manara amepigwa faini ya Sh milioni 9.


Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa amesema Manara amefungiwa miezi 12 kutokana na utovu wa nidhamu.
Akizungumza na waandishi wa habari hivi punde, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.


2 COMMENTS:

  1. Milioni tisa anapigwa fine kafanya uharibifu gani? Kavunja viti au ndio wanasaka pesa za kupunguza deni TRA

    ReplyDelete
  2. wapumbavu sana tff Hawajui kuendesha soka fuck all tff

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic