July 22, 2017


David Ospina nusura amuue Pedro walipogongana wakati wakiwania mpira katika mechi maalum ya kirafiki mjini Beijing, China.


Chelsea imeshinda mechi hiyo kwa mabao 3-0 lakini Pedro alilazimika kutibiwa kwa muda wa zaidi ya dakika mbili kabla ya kutolewa nje.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic