November 28, 2013





Kampeni ya Nani Mtani Jembe imeendelea kupasua anga na safari hii mambo yalikuwa katika mji wa Sengerema na promosheni ya nguvu ilifanyika.
 
Lakini mambo yote yakamalizikia katika baa ya Mwani iliyoko mjini hapo na mashabiki wa Yanga na Simba wakaonyeshana kazi.

Kupitia Bia ya Kilimanjaro ambayo ni wadhamini wa Yanga na Simba, mambo yalikuwa si mchezo kama picha zinavyoonyeesha.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic