November 28, 2013



 


Mashabiki wa Yanga na Simba wameendelea kutesa kupitia kampeni za Nani Mtani Jembe zilizofanyika mkoani Dodoma.


Katika Bonanza lililofanyika mjini humo, mashabiki hao walishindana katika michezo mbalimbali ikiwemo soka.

Mbali na soka uwanjani, mashabiki wa Simba na Yanga walionyeshana kazi katika upigaji wa kontroo huku wakishangiliwa kwa nguvu.

Baada ya tamasha hilo, mashabiki wa Yanga na Simba waliipongeza bia ya Kilimanjaro ambao ni wadhamini wa Simba na Yanga na walioandaa bonanza hilo na kutaka liendelee kufanyika zaidi ya mara moja.

Walisema liliwachangamsha na imeonyesha kiasi gani Kilimanjaro Premium Lager wanavyowajali Watanzania.








 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic