November 10, 2013

KOCHA AKIENDELEA KUANDIKA KIPITIA MINI IPHAD YAKE

Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars juzi aliibuka katika mazoezi ya timu ya Gor Mahia.

Gor Mahia ambao ni mabingwa na anachezea Mtanzania, Ivo Mapunda walikuwa katika mazoezi yao kwenye Uwanja wa City.
Mara ghafla, Amrouch raia wa Ubelgiji mwenye ya Algeria aliibuka na kukaa kimya jukwaani.


Amrouche ambaye ataiongoza Kenya kwenye michuano ya Chalenji alikuwa akiandika vitu kadhaa kadri wachezaji hao wanavyozungumza.

GOR WAKIMALIZA MAZOEZI

Baada ya kumaliza mazoezi alishuka na kuzungumza nao akiwemo kocha wao, Bobby Williamson ambaye alielezwa anakwenda Simba, kabla ya mwenye kukanusha.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic